Software za muhimu kuwa nazo kwenye pc kwa ajili ya Usalama (security) zaidi…

Kwa kawaida kila mtu mwenye pc anakuwa ameinstall software mbalimbali kwenye kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake, Kwa mfano, Mtu anayeshughulika na mambo ya photos na video production atatumia software tofauti na mtu kama accountant, architecture nk. tukiachilia mbali kuhusu hizo software muhimu kwa kazi zako kuna software nyingine ambazo in general na … Continue reading Software za muhimu kuwa nazo kwenye pc kwa ajili ya Usalama (security) zaidi…