Fahamu software za muhimu za kuwa nazo kwa ajili ya usalama wa pc yako

Kwa kawaida kila mtu mwenye pc anakuwa ameinstall software mbalimbali kwenye kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake,
Kwa mfano, Mtu anayeshughulika na mambo ya photos na video production atatumia software tofauti na mtu kama accountant, architecture nk.

tukiachilia mbali kuhusu hizo software muhimu kwa kazi zako kuna software nyingine ambazo in general na ni muhimu kwa usalama,urahisishaji,urekebishaji na usafishaji wa pc yako kuhakikisha inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi hasa kama unakuwa connected na internet.

Anti-Virus Software

 Software hii ni ya kwanza kabisa kufikiria kuiweka baada ya kuistall windows yako. kuna virus wengi sana wametengenezwa kushambulia pc yako na antvirus ndio njia pekee ya kukabiliana na hili,
So ni uchaguzi wako utapendelea ipi, mfano mojawapo ni ESET Node N7 n.k.

Windows Maintenance
Hizi ni zile software zinazoiweka windows installation yake kuwa ktk hali nzuri. Pia kadri unavyotumia pc yako kwa muda ndivyo utendaji kazi yake inakuwa ndogo/yazidi kushuka chini sababu ya issues that are generated with everyday usage.
Hapa zinaongelewa software zitakazo ifanya pc yako ifanye kazi yake kama inavyotakiwa, Nazo ni;
Ccleaner,
registry easy,
Registry Machenics
 nk kwaajili ya kumeintain windows installation na kurepair registry

SpeedUpMyPc kwa kuifanya iwe faster zaidi

Revo Uninstaller au unistaller zingine: inashauriwa kwa ku uninstall vitu bila kuacha mabaki ya registry ktk pc

EASEUS patrition master:For creating and manage disk patrition in windows sysytem

DOWNLOADER
Mara nyingi watumiaji wa pc wanaoingia online hupendelea kudownload vitu mbali mbali kama programu au softwares, miziki, movies ,series nk,kinachohitajika kwa ajili ya hayo yote ni downloader itakayo fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi na kwaharaka kuliko downloader za browser. Mfano ni kama;
Internet Download Manager (IDM): Hii inaaminika na wengi kwa ufanisi wake pia inao uwezo wa kudownload youtube videos, pia zipo
Free Download Manager (FDM),Orbit nk

Archiving Software
Hii ni software muhimu sana kuwa nayo ktk ulimwengu huu wa sasa kwasababu vitu vingi sana vinavyokuwa katika internet vya kudownload vina kuwa katika mfumo wa compressed to archives, inahitajika software maalumu kuweza kufungua mafaili haya, so ni muhimu kuwa na software mojawapo ya hizi kufanya kazi hiyo.
WinRAR,
7zip,
Power archiver
 nk

3 thoughts on “Fahamu software za muhimu za kuwa nazo kwa ajili ya usalama wa pc yako

    1. Zipo kamanda..sema hutegemea uhitaji wako kwenye PC kwa mfano ….mwenye kupenda graphics …huongeza software za graphics …au apendae code or programming. ..pia ahitaji kuwa na soft za programming…..that is all ni kwamba tu hixo hapo juu ni kwa wote ……..!!!!

      Like

Leave a comment